Jun 18, 2015

Rais Kikwete awaapisha Majaji 2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam juni
Rais JAKAYA KIKWETE amewaapisha majaji STELAA MUGISHA na Jaji AUGUSTINE MWARIJA Ikulu jijini DSM .
Kabla ya uteuzi huo Jaji MUGISHA alikuwa jaji mfawidhi katika mahakama kuu kanda ya DSM na jaji AUGUSTINO MWARIJA alikuwa jaji mfawidhi katika mahakama ya biashara DSM.
Wakizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa wa jaji mteule wa mahakama ya rufani TANZANIA, wamezungumza namna walivyopokea uteuzi huo na kuhaidi kutenda haki katika kutekeleza wajibu wao.