Katibu Mkuu Kiongozi
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili kulia)
akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (kulia) juu ya shughuli mbalimbali za PSPF,
wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Utumishi) Bw. Habib Mkwizu (kushoto) na Bw. Joseph Lyimo, ambaye ni
Afisa wa PSPF. Mheshimiwa Sefue alitembelea banda la PSPF katika maonesho ya
wiki ya Utumishi wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, kulia ni Michael Tarimo, Afisa wa PSPF.
Mheshimiwa Sefue alitembelea band la PSPF katika maonesho hya wiki ya Utumishi
wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Bw. Max Mbise akitoa
maelezo juu ya shughuli mbalimbali za PSPF kwa wateja waliotembelea banda la
PSPF katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyamalizika hivi karibuni
jijini Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul
Njaidi akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama wa PSPF waiotembelea banda la PSPF
katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyamalizika hivi karibuni jijini
Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF
waiotembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma
yaliyamalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
chanzo JIACHIE