Jun 26, 2015

PROF: MARK JAMES MWANDOSYA AHITIMISHA ZAIRA YAKE YA KUKUSANAYA WADHAMINI 450MJINI DODOMA

 Prof: James Mark Mwandosya akionesha cheti cha uthibitisho wa kukamilisha zoezi la ukusanyaji wadhamini ndani ya mji wa dodoma. ametoa pongezi na shukrani za dhati kwa wale wote waliofanikisha zoezi hili la ukusanyaji wadhamini katika mikoa yote aliyokwsha pita na kupata idadi kamili ya wadhamini.

 akizungumza na wanahabari waliofika katika ukumbi huo wakati wa kuhitimisha ziara yake ya kukusanya wadhamini 450 mjini dodoma
Prof: James Mark Mwandosya akikaribishwa na Muhammed Sief Khatib

safari ngumu ya kuwataka wawania uraisi ndani ya Nchi yaTanzania imekuwa gumzo kila kona kwani kulingana na utitiri wa watangaza nia kutaka kuwania urais Mheshimiwa Mwandosya amewasilisha wadhamini wake kulingana na idadi iliyotolewa katika Ofisi ya NEC idadi hiyo iliyowataka wagombea wote kufikisha wadhamini 450 kwa mikoa yote ya tanzamia. Mhe mwandosya amekwsha wasilisha na kukabidhiwa hati ya kukabidhi wadhamin wake akiwa na furaha tele na kuwashukuru wale wote waliojitokeza katika kumpa kamapani ya mchakato mzima.