Crew ya Kwetu house kutoka AZAMTV na Uhai Production wapo mbion kuanza mchakato wa kinyang'anyiro cha mshindi bora wa KWETU HOUSE ambapo hivi sasa crew hiyo ipo njiani inazunguka kila mkoa kuweza kuwafanyia usahili vijana wanaohitjai kushiriki katika msimu wa pili wa KWETU HOSE. akizungumza na blogger wetu moja kati ya crew hiyo Bw. Joseph Mtatiro { Kichaka } amesema mchakato uko sawa kabisa na hakuna kikwazo chochote anawataka tu watanzania wajitokeze kuweza kufanya usahili ili waweze kuingika katika Tallent Search ya KWETU HOUSE.
Jun 27, 2015
MSIMU WA PILI WA KWETU HOUSE KUANZA MWEZI JULY