Filamu ya KONA iko tayari na itakuwa sokoni kuanzia jumatatu ya wiki ijayo tarehe 29 june 2015.kwa mujibu wa muandaaji wa filamu hiyo bwana GABO amesema ZAWADI yangu kwenu hii hapa
nipo pamoja na nyinyi kwasababu nyinyi mpo na mimi
Asanteni kwa kuniunga mkono,Itakuwa mtaani JUMATATU.
