Jun 28, 2015

MOTO WAJERUHI 500 NCHINI TAIWAN

Majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza.
WATU zaidi ya 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea mlipuko na moto kwenye bustani moja ya burudani nchini Taiwan mapema leo. Zaidi, ingia hapa
:====>>http://wp.me/p6irf2-2cm
Rais wa Taiwan, Ma Ying-jeou (katikati) akiongea na mmoja wa majeruhi aliyelazwa hospitalini baada ya ajali hiyo.