MISS TANZANIA ASHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WANAFUNZI
Miss Tanzania wa sasa, Lilian Kamakazi
Miss Tanzania wa sasa, Lilian Kamakazi (pichani juu na chini) akiwa na wanafunzi wa shule ya Shalom ya Njiro, Arusha.
Miss
Tanzania wa sasa, Lilian Kamakazi, leo ni siku yake ya kuzaliwa ambapo
anatimiza miaka 19. Ameamua kusherekea siku yake kwa kwenda kujumuika na
wanafunzi wa shule aliyosomea ya Shalom ya Njiro -Arusha ambako alisoma
elimu yake ya msingi. PICHA: Global WhatsApp