![]() |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa
Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi
hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (kushoto) ni Sheikh wa Mkoa wa
Mtwara, Dk. Nurdin Abdallah Mangochi. Picha zote na John Badi.
|
![]() |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (mwenye shati la kijani), akiagana na baadhi ya
viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini jana jioni, baada ya dua
maalum iliyoandaliwa na viongozi hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika
safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
|

