MFUNGWA ambaye wapiganaji wa kundi la ISIS
lilimtuhumu kuwa jasusi wa Israel (Mossad) hivi majuzi aliuawa kwa
kupigwa risasi kichwani katika jangwa la Sinai, Misri.
Kwa mujibu wa video zilizopatikana, mfungwa
huyo anaonekana akiwa amesimama katika shimo akichimba kaburi lake,
akapigwa risasi nyuma ya kichwa na kusukumiziwa katika kaburi hilo.
ISIS wamesema mtu huyo alikuwa anafanya ujasusi na kuripoti kwa serikali ya Israel kuhusu shughuli za ISIS eneo hilo la Misri.
CHANZO NA DAILYMAIL