Mwenyekiti wa Jukwaa la ULINGO wa wanawake ANNA ABDALLAH
Mwenyekiti wa Jukwaa la ULINGO wa wanawake ANNA ABDALLAH amekitaka
Chama cha Mapinduzi - CCM- kutenda haki kwa wagombea wanawake
waliojitokeza kuchukua fomu katika nafasi ya uraisi na kuto wabagua .
ANNA ABDALLAH amesema wanawake WANNE waliojitokeza hadi sasa kuchuka fomu, wanauwezo wa kukabiliana na ushindani uliopo ndani na nje ya chama na kukitaka cha hicho kuepuka na mfumo dume utakaodhoofisha nguvu za wanawake.
chanzo: TBC
