.jpg)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la
12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Me
9, 2015.
.jpg)
Baadhi
ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu,
Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo kwenye hoteli ya White
Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015.
.jpg)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na viongozi wa Lions Club baada ya
kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es
salaam
.jpg)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa Lions Club baada ya
kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es
salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA