
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na
Magonjwa ya akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew
Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa mbali mbali vyenye
thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitatu ya
kipindi hicho. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa
msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira kwa
jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy,
Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul
Makonda.

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akipongezwa meneja wa Jengo la Wazazi,
Sister Amina Mwakuluzo kwa moyo aliyouonyesha. Kila mwaka Kipindi cha
Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni
mpango wake wa kurudisha fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa
mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akitoa shukrani zake kwa uongozi wa
hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kuweza kumpokea na kukubali vifaa
alivyotoa ili viweze kuendelea kusaidia jamii. Mboni alitoa vifaa mbali
mbali vyenye thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka
mitatu ya kipindi hicho. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha
kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha
fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete
Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Paul Makonda.

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi kikombe Mkuu wa Idara ya Uzazi
na Magonjwa ya Akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta
Mathew Kallaga.

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akitoa zawadi mbali mbali kwa akinamama
aliyowakuta katika wodi ya wazazi. Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha
kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha
fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete
Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Paul Makonda.

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi nguo kwa mama aliyejifungua
mtoto wa kike. Pembeni anayeshikilia nguo ni Mkurugenzi wa Fadhaget
Sanitarium Clinic, Dokta Fadhili Emily.

... Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akiwa amebeba mtoto kwa furaha.
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akitoa zawadi ya Nakiete Baby Diaper
ambazo hutengenezwa na Kuuzwa na Nakiete Pharmacy ambao nao waliungana
nae kutoa msaada huo.
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba (katikati) akiongea machache mara baada ya
kukabidhi vifaa vyenye thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni
maadhimisho ya miaka mitatu ya kipindi hicho. Kutoka kulia ni Mkurugenzi
wa Fadhaget Sanitarium Clinic, Dokta Fadhili Emily, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Nakiete Pharmacy, Dorine Mzava na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Wengine ni Mkuu
wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya Akina mama wa hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga na Dokta Vicent Tarimo.

Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiongea wakati alipounga mkono
Kipindi cha Mboni Show katika utoaji wa Misaada katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Mkurugenzi wa
Fedha na Utawala wa Nakiete Pharmacy, Dorine Mzava na Mkurugenzi wa
Mboni Show, Mboni Masimba.

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akitia shukrani kwa wauguzi wa hospitali hiyo.


Picha ya Pamoja...

Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akihojiwa na waandishi wa habari mara
baada ya kumaliza kutoa msaada katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akishow ndugu zake na Emma Kahere na Mariam Masimba.


Timu ya Mboni Show ikifurahia pamoja madokta.
picha na michuzi media