Baadhi
ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine
wakichangia mawazo kufuatia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru
Kaya Maskini iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw.
Ladislaus Mwamanga.
Baadhi
ya watendaji wa TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na
taasisi zingine wakisikiliza michango ya mawazo kutoka kwa washiriki
kufuatia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini
iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga.
Baadhi
ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine
wakifuatilia kwa makini uchangiaji mawazo kufuatia taarifa ya
utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini iliyowasilishwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga
Baadhi
ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine
wakipitia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini
iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga .
Mfuko
wa Maendeleo ya jamii-TASAF kwa ushirikiano na wadau wa Maendeleo
wameanza mkutano wiki mbili wa tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa
Kunusuru Kaya Maskini nchini -PSSN unaosimamiwa na mfuko huo.
Zifuatazo
ni picha zikionyesha wadau hao wa maendeleo na watendaji wa TASAF
wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga katika ukumbi wa
mikutani wa Makao makuu ya mfuko huo jijini Dar es Salaam.
.png)
.png)
.png)
