
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
akifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe.
Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili
May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
humo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi
hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara
yake rasmi ya siku tatu nchini humo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya
siku tatu nchini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader
Bensalah akiwasili katika ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers
kwa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya
siku tatu nchini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Rais wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah na
viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na kikundi cha utamaduni
katika ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers baada ya dhifa ya
kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe.
Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili
May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na mabalozi wa nchi za Kiafrika katika ukumbi wa El-Mithak
Residency jijini Algiers baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya
pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe.
Abdelmalik Sellal katika kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha Zeralda
Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku
tatu nchini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika kiunga cha Ikulu
ya nchi hiyo cha Zeralda Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya
ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe.
Abdelmalik Sellal katika kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha Zeralda
Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku
tatu nchini humo.
PICHA NA IKULU