May 19, 2015

MTAA KWA MTAA KUJA HIVI KARIBUNI KAA MAKAO WA KULAAAAAA!!!!!! KUTOKA KWA NISHA

 wasanii walioshhriki katika filamu mpya ya Mtaa Kwa Mtaa, Salma Jabu, Hemedy Phd. na diana kimaro wakiwa katika mazungumzo wakati wa kuandaa filamu.

harakati zikiendelea ndani ya filamu mpya ya Mtaa Kwa Mtaa


 promo za mtaa kwa mtaa bado zikiendelea kwa mtaa. filamu machachari kabisa inayoletwa kwenu na muigizaji maarufu Tanzania Salma Jabu { NISHA} nisha ameiambia blog hii kuwa filamu yake itatoka hivi karibuni hivyo anawaomba watanzania wakae mkato wa kuipokea na wajiandae kucheka kwani filamu hii imebeba maudhui ya komedi kwa sehemu kubwa na ameeleza kuwa filamu hii ndio filamu pekee iliyompa changamoto kubwa katika uandaaji wake lakni anashukuru Mungu kwa kumuongoza na kuimaliza salama. kupia mtandao wa facebook filamu hii inaonekana kushika kasi bukbwa sana na watanzania wengi wamejiandaa kuipokea kwa hamu kubwa sana kwani imeshirikisha mastaaa nguli wa filamu hapa nchini akiwemo salam jabu. Ni Hemed suleiman, Salma Jabu Nisha,Tausi Mdegela,Asha Boko,Iptysam Othman na Diana kimaryo.na wasanii wengine wengi tu wa tasinia ya filamu Tanzania. kwani nisha ameeleza kuwa ana ndoto za kuwafikia wasanii wakubwa. 

" Nina malengo makubwa na ndoto kubwa sana kuweza kufanikisha tasnia hii ya filamu hapa tanzania turudishe hadhi yetu ili soko la filamu liweze kuwa kubwa na pia namalengo ya kufanya filamu na wasnii kutoka Nigeria, South Africa na nchi jirani za kenya kwani kwasasa nasubiri nimalize kazi ya hii filamu yangu mpyaaa!! ya mtaa kwa mtaa hivyo nawaomba watanzania wote waipokee kwa mikono miweili kama kazi ya mtanzania mwenzao nawapenda sana watanzania wote na wale wote wanaonisapoti na wanaosupport Tasnia ya filamu hapa Tanzania kwa ujumla ahsantena sana. Nisha"

LOADING .........MATAA KWA MTAA