Askari wa MOCHRISPO SECURITY baada ya parade wakipata picha ya pamoja
askari wakakamavu wa Mochrispo security co.ltd wakijiandaa kwa kuingia mzigoni baada ya mazoezi makali ya asubuhi tayari wakiwa wameishapangiwa majukumu ya kazi zao
picha na Mkurugenzi wa Mochrispo security
Kampuni ya MOCHRISPO SECURITY iliyopo jijini Mwanza imekuwa ikifanya vyema kazi zake katika kuboresha na kuimarisha mazingira ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao. kampuni hii inawafanyakazi wengi wapatao 200 ndani ya na nje ya jiji la mwanza. imekuwa ikitoa fursa pekee kwa wafanyakazi na askari wake wote wanaofanya vyema katika mazingira yao ya kazi kwani wanapewa vipaumbele. kwa kupewa ofa za kozi mbalimbali za computer na mafunzo ya ufundi katika fani hizo. Mkurugenzi wa kampuni ya MOCHRISPO anatoa pongezi kwa wafanyakazi wake wote na kuwataka wawe makini katika kazi zao na watimize majukumu yao kama wanavyopangiwa
KWA MAHITAJI YA ULINZI WASILIANA NA
MOCHRISPO SECURITY CO.LTD
+255 752 203 33 33
+255 783777880
EMAIL: mochrispo@gmail.com


