Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na
wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu
watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya
kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa
watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu
wanaitumia vibaya sana..
By:JB on Instagram