
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira (wa pili kulia)
na ujumbe wake wakifanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo wa Poland Mhe.
Marek Sawicki.

Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira (kulia) akifanya
mazungumzo na menejimenti ya kampuni inayotengeneza matrekta ya Ursus
katika ofisi za Ursus mjini Warsaw, Poland.

Wajumbe wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika wakiwa na mwakilishi wa kampuni ya Ursus Tanzania, Mama Grazyna Tairo.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira pamoja wa ujumbe
wake walivyowasili Warsaw, Poland tarehe 16 April 2015.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini
Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi
hiyo Marek Sawicki.
Pamoja
na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya
Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA.
Katika
ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa
Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo,
Chakula na Ushirika na SUMA JKT.