Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa
benki hiyo katika tukio la kujitolea
damu lililoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini
Dar es Salaam jana.
Meneja Mahusiano ya Kibiashara wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC), Lukemelelo Kaduma (katikati) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya
matukio ya wafanyakazi wa NBC
kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana.
Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS),
Peter Chami na kushoto ni mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Benard Elikana.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jolanda
Songoro (kushoto) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
jijini Dar es Salaam mwishoni jana. Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango
wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami.
Meneja wa Idara ya Mikopo Midogo wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC), Jacob Samuel (kulia) akijitolea damu pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wenzake ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa
wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC, William Tendwa naye
akishiriki tukio lililoandaliwa na benki hiyo la kujitolea damu kuadhimisha
Siku ya Wanawake Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC
wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi hao kuadhimisha Siku
ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana. Anayewatoa damu kushoto ni mtaalamu
wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami.
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Bernard Elikana akiungana
na baadjhi ya wafanyakazi wa NBC kujitolea damu kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani. Kulia ni Petert Chami wa Damu Salama.
Mkazi wa
Mwananyamala Dar es Salaam Subira Omar akijitolea damu katika tukio lililoandaliwa
na Benki ya NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jana. Anayemtoa ni Peter
Chami kutoka Damu Salama (NBTS)
Mmoja wa
wafanyakazi wa Benki ya NBC, John Nyaindi naye akishiriki tukio lililoandaliwa na benki
hiyo la kujitolea damu kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Kushoto ni Daudi
Mkawa kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama.
Mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama,
Peter Chami (kulia) akimuandaa mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC, Georgia
Mwita ili aweze kumtoa damu katika tukio
hilo jijini Dar es Salaam jana.