kwa hisia kali alizokuwa nazo Vin diasel alimwambia Natalie Morales kuwa paul walker alikuwa ni mtu namtegemea sana katika kuendesha kazi zangu na alikuwa mshauri mkubwa sana katika kufanya kazi za filamu. Vin diasel alisistiza huku akitokwa na mmachozi kabla ya kuruka na helkopita kuelekea Los Angeles akiwa na Natalie Morales.
+9
familia ya vin diesel ikizidia kukua picha ya mwaka 2013 na hapo akionesha mtoto pauline akiwa na umri mdogo sana akiwa ni mtoto wa tatu kwa mcheza filamu huyo maarufu na mpenzi wake Paloma jimenezi . paul walker amefarik idunia akiwa na umri wa miaka 40 baada ya kupta ajali november 2013 ambapo alifariki paul walker na dereva wake
wiki iliyopita vin diesel alijikuta akiangua kilio na kutoa machozi wakati wa kuipitia filamu yao mpya ya Furious 7 iliyochezwa Los
Angeles, onyesho hilo la kuhakiki sinema hiyo lilifanyika katika mji wa California,
Saying goodbye: Out in theatres on
April 3, the film saw the return of all the series' stars including
(L-R) Dwayne 'The Rock' Johnson, Michelle Williams, Paul, Vin, Tyrese
Gibson, Ludacris and Jordana Brewster
HABARI KAMILI SOMA HAPA