Haya Ndio Maelezo ya JB Kuhusu Watu Wanaotaka Kuigiza Naye
Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu
kutaka kuigiza, jamani kuna team ya ma director ndio wanafanya kazi hii
sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza
mahali nawavutiwe.
Please anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengi wenye
vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB
ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.