Mar 29, 2015

Abdul Bonge meneja wa Tip top connection afariki dunia march 28

bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake
 Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia leo March 28.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na kwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.

chanzo  millardayo.com