hapa hajategemea kuwa mama - 2011
Enzi zake
Wakati wa usichana wangu- 2011 ni kweli siku hizi najiona nimekua miaka 31 sio mchezo - sina mizuka tena ya Kama miaka 5 au 10 ilio pita - sasa hivi napenda simple life style
citystarboutique
mwendo wa kula bata tu ndani ya sherehe
picha ya zamani mwaka 2011 faiza akiwa bado hajaitwa mama
HAYA MANENO YA FAIZA ALLY
Wakati wa usichana wangu- 2011 ni kweli siku hizi najiona nimekua miaka 31 sio mchezo - sina mizuka tena ya Kama miaka 5 au 10 ilio pita - sasa hivi napenda simple life style
picha na Facebook.com