freeman mbowe mwenyekiti wa chadema taifa
Walinzi wa Chadema wakiwa katika picha ya pamoja.
Akizungumza mtandao wa Global Publishers, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Alfred Rwakatare amesema kuwa mkutano huo utatikiza Mwanza kwa sababu utahudhuriwa na watu wengi na utakuwa wa amani na wanatarajia kuzungumza na wafanyabiashara wadogowadogo ili kuwawezesha kufanya biashara zao bila kubughudhiwa na mtu.
“Licha ya Mheshimiwa Mbowe pia kutakuwepo na wabunge mbalimbali wa chama chetu akiwemo mwenyeji wetu wa Jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje na maandalizi makubwa yanaendelea kufanywa na chama chetu,” alisema Rwakatare