Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimtunuku shahada ya PhD ya Sayansi Uhandisi na Hesabu Bw. James Philip kwenye Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na
Teknolojia ya Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
Sehemu ya wahitimu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela
Wahadhiri katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania ambae pia ni Mkuu wa
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja
na wahitimu, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo
jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa Shahada ya Uzamili
na Uzamifu kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya
Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
Picha na OMR
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)