Diamond
akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles tayari kwa makamuzi ya
sharehe ya Uhuru itayofanyika Sheraton, ya Downtown Silver Spring,
Maryland.
Diamond akimsalimia mwenyeji wake (hayupo pichani) mara tu alipowasili Dulles.
Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate