Vijana wa Kikundi cha “Hisia Theatre
Group” wakionesha ujuzi wao wa sarakasi wakati wa tamasha la mafanikio
ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC)
Chang’ombe jijini Dar es salaam ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho
ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Mwamuzi wa michezo ya sanaa za
maonesho na Mhadhiri kutoka chuo Kikuu cha Dar es salaam Delphine
Njewele (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Mamlaka
ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA) Hamisi Tika kwenye banda la PPAA
wakati wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika
viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jana jijini Dar es salaam ikiwa ni
kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano
Serikalini (GCU) Ingiahedi Mduma (katikati) wakati wakitoa burudani
wakati wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika
viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.


