Nov 12, 2014

WAFANYAKA WA VODACOM TANZANIA WANUFAIKA NA SEMINA YA MASWALA YA UDHIBITI WA KIPATO‏

Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika  katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania wa kitengo cha IT Josephat Kyando  akichangia hoja wakati wa  semina ya jinsi ya udhibiti wa matumizi ya kipato binafsi iliyofanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo(hayupo pichani) wakati wa  semina  maalumu kwa wafanyakazi hao ya jinsi ya kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.