Nov 3, 2014

TIMU YA VODACOM YALALA 1-0 KWA CBA MWISHONI MWA WIKI‏

Mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania  Hans Henry akijaribu kumtoka beki wa timu ya CBA Anjerus Ngimbo wakati wa bonaza lillozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya shule ya msingi ya Ushindi iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,  Timu ya Vodacom ilifungwa 1-0 na timu ya CBA.

Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Hans Henry akiwania mpira na  mabeki wa timu ya benki ya CBA wakati wa mchezo uliofanyika kwewnye uwanja wa shule ya msingi ya Ushindi iliyopo mikocheni B, ikiwa ni  bonanza la kuwakutanisha wafanyakazi wa makampuni mbalimbali katika hali ya kubadilishana mawazo na kufahamiana kupitia michezo.Timu ya Benki ya CBA ilishinda Vodacom 1-0.
Mshambuliaji wa timu ya benki ya CBA Austino Mapambano  akikabiliana na beki  wa timu ya Vodacom Tanzania Poul Kaiza (kulia)  wakati wa mchezo wao katika bonanza lililofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi ya Ushindi ya Mikocheni B jijini Dar es Salaam,Bonanza hilo lilihusisha timu za makampuni mbalimbali  ikiwa ni sehemu ya kujenga urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo,Vodacom ililazwa na CBA kwa 1-0.
Mlinzi wa timu ya Benki ya CBA Austino Mapambano akijaribu kumdhibiti  mshambuliaji wa timu ya Vodacom Hans Henry wakati wa mchuano wao wa bonanza uliozishirikisha timu za makampuni mbalimbali uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi ushindi Mikocheni B jijinji Dar es Ssalaam, lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali katika uwanja wa shule ya msingi Mikocheni B ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo Vodacom ilitandikwa goli 1-0.
Mlinzi wa timu ya benki ya CBA Amrani Mlawa akimiliki mpira mbele ya washambuliaji wa timu ya Vodacom Tanzania wakati wa mchuano ya bonanza iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi ya ushindi Mikocheni B jijini Dar es Salaam, lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo CBA ilishinda 1-0
Wachezaji wa timua ya Vodacom Tanzania  wakiwania mpira mbele ya walinzi wa timu ya  benki ya CBA wakati wa mchuano wa bonanza uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi ushindi Mikocheni lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo CBA ilishinda 1-0.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Vodacom wakiupdate mitandao yao ya kijamii kupitia simu zao za mkononi kuhusiana na bonanza iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi ya ushindi Mikocheni B jijini Dar es Salaam, lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo CBA ilishinda 1-0 Kikosi cha timu ya Vodacom Tanzania wakijifua kabla ya kuanza kwa mchezo wao na timu ya benki ya CBA wakati michezo ya bonanza lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali katika uwanja wa shule ya msingi ya Ushindi ya Mikocheni B ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo,Vodacom ililazwa na CBA kwa 1-0.
Kikosi cha timu ya benki ya CBA kikiwa pamoja na kikosi cha timu ya  Vodacom  Tanzania kabla ya mchezo wao wa bananza  lenye lengo la kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo kuanza,ambapo Vodacom ililazwa na CBA kwa 1-0.
Kikosi cha timu ya Vodacom kilichofungwa na timu ya benki ya CBA  1-0. Kwenye mchuano wa bonanza lililozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali katika uwanja wa shule ya msingi ya ushindi Mikocheni B ikiwa ni sehemu ya kujenga undugu na urafika  wa makampuni hayo kupitia michezo.