Kampuni
ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji
cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho kimetengenezwa kwa ufanisi
na kuchanganywa katika vipimo maalum ili kupata bidhaa zenye ladha nzuri
zinazolenga na kukubalika na matabaka yote ya wanywaji au watuamiaji wa
vileo. Ujazo wake ni 700ml. Bidhaa hii inazalishwa nchini Uingereza.
Meneja
Masoko ya Kinywaji cha Shuda Cocktails, Bernadetha Daudi akiongea
katika uzinduzi wa kinywaji huo mwishoni mwa wiki iliyopita Nobemba 1,
2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD ambao ni wasambazaji wa kinywaji cha
Shuda Cocktails akiongea katika uzinduzi wa kinywaji hicho, halfa
iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Novemba 1, 2014 katika hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam.
Shuda
Cocktails zipo katika ladha nne kwa sasa: Woo Woo, Pina Colada, Mojito
na On the Beach. bei ya rejareja ni Tsh 12,000 kwa chupa.
Mabinti waliokipamba kinywaji cha Shuda Cocktails.
Balozi wa Kinywaji hicho, Lemtuz akiwa na mabinti wakikipamba kinywaji cha Shuda Cocktails.
Kwa
sasa zinapatikana katika supermarket zote hapa Dar es salaam, kumbi za
starehe na bar kwenye kila kiunga cha Dar es salaam. Hivi karibuni,
Shuda Cocktails zitapatikana mikoani pia.
Ofisi zetu zipo Masaki, Kahama Rd mkabala na Mafian Lounge ya zamani.
Ili
kupata maelezo zaidi kuhusiana na shuda Cocktails tembelea tovuti yetu
www.shudacocktails.tz.co na facebook kupitia Shuda Cocktails Tanzania
Tunapatikana pia kupitia namba +255 717923963 na 0717 528216.
Kila aina ya Shuda ina viungo tofauti kama ifuatavyo:
Shuda Woo Woo; Cranberry juice, peach schnapps and Vodka
Shuda PinaColada: Pineapple juice, banana, Coconut milk and rum
Shuda On the Beach: Peach schnapps, orange juice, vodka
Shuda Mojito; Lime juice, club soda, mint and rum
Furaha ya kinywaji cha Shuda Cocktails.
Marafiki walipokutana pamoja.
Wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa kinywaji cha Shuda Cocktails.
Wengine waliamua kuweka kumbukumbu.
Bongo movie nao walikuwepo.
Ukodak ulihusika toka #KajunasonStudio ya Kajunason Blog.
Mtaalam King Maluu akionyesha umahili wake wa kuitandika mdomo wa bata.
Kila mmoja alitaka kupiga picha na Msanii Diamond Platinumz.
Haya mimi pia Mmiliki wa Kajunason Blog niliweza kupata ukodak na Msanii Diamond.
Warembo nao walikuwepo kushuhudia uzinduzi huo.
Khadija Mwanamboka na Shamim Mwasha nao waliwakilisha.