Rais
wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana
huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani
mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo
hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA RAIS IKULU
MAWASILIANO YA RAIS IKULU