Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Ukumbi wa Mikutano wa
Mlimani wakati wa Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na
wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza
naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma
Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma leo
Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.

Viongozi wakisimama kuimba Wimbo wa Taifa.

Ngoma ya utamaduni ya
kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais
Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili
kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Sehemu ya wazee wakati
wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Meza kuu ikiomba dua
kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma
leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.

Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani
jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazee wa
mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza na Rais
Kikwete maswala kadhaa ya maendeleo.

Rais Kikwete akiingia
katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014
tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo.

(Picha na Ikulu)