Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo
Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi yake.