

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Eng. Mussa Ibrahim Iyombe akizungumza wakati
wa Kufungua Mkutano wa siku ya Biashara (Fidic Business Day) katika
Ukumbi wa hoteli ya Serena,Jijini Dar es salaam leo.

Sehemu
ya Wajumbe wa Mkutano huo wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara
ya Ujenzi,Eng. Mussa Ibrahim Iyombe (hayupo pichani).

Picha ya pamoja.
na michizi blog