
Sergio Aguero akishangilia bao lake alilofunga dakika ya 63 dhidi ya Manchester United.
STRAIKA wa Manchester City, Sergio Aguero ameifungia timu yake bao
moja na la pekee dhidi ya mahasimu wao Manchester United leo katika
mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester.
Katika mechi hiyo, Chris Smalling ametolewa nje kwa kadi nyekundu katika dakika ya 38 ya mchezo