Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal wa kwanza (kushoto) akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Rupia
Banda, Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, Rais wa Msumbiji Mhe. Ermando
Guebuza na Kaimu Rais wa Zambia Dkt. Guy Scott kwenye Misa Maalum ya
kuaga mwili wa Rais Michael Sata iliyofanyika jana Novemba 11,2014
kwenye Uwanja wa Taifa mjini Lusaka Zambia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Tawala cha PF Mhe. A.B.
Chikwanda kwenye Viwanja vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi wa
Kitaifa wakati mazishi ya Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata
yaliyofanyika jana Novemba 11,2014 kwenye uwanja wa Taifa mjini Lusaka
Zambia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akimfariji Rais mstaafu wa kwanza Zambia Dkt. Keneth Kaunda mara
baada ya kumalizika maziko ya Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya
Sata kwenye Viwanja vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi wa Kitaifa
yaliyofanyika jana Novemba 11,2014 mjini Lusaka Zambia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akimfariji Rais mstaafu wa Zambia Mhe. Ruphia Banda baada ya
kumalizika mazishi ya Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata
kwenye Viwanja vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi wa Kitaifa
yaliyofanyika jana Novemba 11,2014. katikati Rais mstaafu wa kwanza wa
Zambia Dkt. Keneth Kaunda.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisaini kitabu cha maombolezo ya Rais wa Zambia Marehemu Michael
Chilufya Sata kwenye Viwanja vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi
wa Kitaifa yaliyofanyika jana Novemba 11,2014. (Picha na OMR)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)