Staa wa filamu za Kibongo, Eshe Buheti ameibuka na kuwananga mastaa wa kike waliobaki kwenye Kundi la Bongo Movie Unity kuwa hawajielewi na kazi yao ni majungu tu.Akistorisha na Risasi Jumamosi, Eshe alisema kuwa imefikia hatua baadhi ya wasanii hao hawasalimiani wanapokutana misibani kisa ni yeye kujitoa kwenye kundi, kituambacho haoni kama kina tija.
Nov 8, 2014
ESHE AWANANGA MASTAA BONGO MOVIE