TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA
Msanii
wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado
inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri
wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni
Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina