MAMA wa aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Kanumba hakuwahi kunitambulisha mwanamke yeyote zaidi ya Wema na aliapa kumuoa, akaniambia hawezi kuniletea mwanamke mwingine, nimshauri Wema azae na bebi wake kwani mtoto ni faraja kwake,” alisema mama Kanumba.
CHANZO GLOBAL PUBLISHER