“Wasanii wa Kibongo tuna umaarufu maandazi, tunajinadi kwa majina siyo kazi ndiyo maana utakuta mtu ana umaarufu mkubwa lakini kazi zake huzijui, madhumuni yangu ya kuanzisha hii timu ni kwa sababu nataka kupambana niitoe nchi yetu kimasomaso na kukubalika kimataifa,” alisema Wastara
Sep 29, 2014
WASTARA: WASANII TUNA UMAARUFU MAANDAZI