Picha: Mario Balotelli alivyoteremsha bukta uwanjani
Mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli ambaye hivi karibuni
alizozana na mwamuzi katika mechi ya kirafiki jana aliteremsha bukta
yake akiwa mazoezini Melwood na timu yake Liverpool. Huu ni mfululizo wa
vituko vingi vya mshambuliaji huyo.