BAWA AFRIKA

World's News Updates.

Pages

  • HABARI
  • GLOBAL NEWS
  • SHOW BIZ
  • VIDEOZ
  • MUSIC
  • FASHION SHOW
  • MICHEZO {SPORTS}

Sep 10, 2014

MBWA ANAYEPIGA KAZI KAMA MTU

 
    Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau
.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua Lemon baada ya kustaafu kazi ya jeshi.
Fani yake akiwa katika jeshi la Urusi ilikuwa kufunza mbwa jinsi ya kutekeleza majukumu mbalimbali, hivyo si ajabu aliweza kumfundisha Lemon 'ujanja'.
"Hupenda kujifunza na kujaribu mambo mapya na huwa hasahau" amesema bwana Matitsyn.
Mbwa akiwa ameshikilia plau ya kulimia kwa kuvuta

Chanzo: http://metro.co.uk/2014/09/09/overachieving-dog-helps-military-veteran-run-a-successful-farm-4862714/
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Post Older Post Home

BRANDING TANZANIA

BRANDING TANZANIA

VISIT TANZANIA

VISIT TANZANIA

SWAHILI

SWAHILI

VISIT NGORONGORO

VISIT NGORONGORO
Visit Ngorongoro for Unforgettable Experience

VISIT TANZANIA

VISIT TANZANIA

MAMBO YA FASHION

MAMBO YA FASHION

SEARCH THIS BLOG

KiCHAKA KICHWA CHA KAZI

KiCHAKA  KICHWA CHA KAZI
MORNING AT LAKE VICTORIA BUKOBA

VISIT TANZANIA

VISIT TANZANIA
The World Leading Award Destination

Translate

KATE Palmer

KATE Palmer

PAGE VIEWS

HABARI ZILIZOSOMWA

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

BawaAfrika. Travel theme. Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.