alipojifanya kuwa na haraka na kukutana na gari hilo tarfic walikuwepo na walishuhudia ajali hiyo na dereva wa ajali hiyo ya piki piki amepata tu maraehara sehemu za mabega na miguu
piki piki iliyo pata ajali eneo la mataa jijini mwanza
dereva wa piki piki akiwa ameumia huku akiwapigia ndugu zake simu baada ya ajali hiyo
baadhi ya raia wakimpakia dereva wa piki piki katika gari aina ya land cruiser aliyo sababisha ajali
umati wa watu wakishangaa ajali hiyo eneo la mataa jijini mwanza






