
Msanii
wa filamu za Kibongo ambaye pia ni mtangazaji, Lulu Mathias Semagongo
'Aunt Lulu' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV
Online mchana huu.
Aunt Lulu akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).

Aunt Lulu akiwa katika pozi 'bab kubwa'.

Aunt Lulu akiwa kasimama baada ya kumaliza mahojiano na Global TV Online.

Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evalist (kushoto) akiwa katika pozi na Aunt Lulu.
(PICHA NA GLOBAL TV ONLINE/GPL)