Mmoja wa Mashabiki waliodhuria Usiku wa Tamasha la Matumaini akiwa mwenye furaha katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Msanii
wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha
mashabiki wake wakati wa Usiku wa Tamasha la
Matumaini lililofanyika
katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kudhaminiwa na Kampuni ya
Vodacom Tanzania.
Msanii
wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki wake
wakati wa Usiku wa Tamasha la Matumaini lililofanyika katika Uwanja
wa Taifa Dar es Salaam na kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.
Bondia
Said Membe (kulia), akijiandaa kumsukumia ngumi bondia, Khalid Chokoraa
wakati wa Usiku wa Tamasha la Matumaini lililofanyika katika Uwanja
wa Taifa Dar es Salaam na kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.
Msanii
JB akiwa anamuangalia msaanii mwenzake, 'Cloud' baada ya kumuangusha
chini wakati wa pambano lao la ngumi wakati wa Usiku wa Tamasha la
Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na
kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.
Mshabiki
wa bondia, Mada Maugo wakimwagia maji baada ya kushinda pambano lake na
bondia mwenzake, Thomas Mashari wakati wa Usiku wa Tamasha la
Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na
kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.