Baada ya kukaa kima kwa zaidi ya miezi 10 tangu alipounganisha waliokuwa maasimu wakubwa wa mziki
wa Hip Hop nay Wamitego na Chidi Benz katika wimbo wa waambie nipo,
Baghdad ameeleza ya kuwa ukimya wake wa muda mrefu ulitokana na kushughulikia muonekano wake
mpya na pia ameeleza nia ya kusimama kutokuachia wimbo ni baada kampuni aliyosighn nayo mkataba
wa kuuza coller tune kutokufanyia kazi mawazo yake na alikubaliana nao endapo wakiwa na masharti
mazuri basi wanaweza wakaangia mkataba tena baada ya kuvunja mkataba wa awali,
Baghdad ameeleza ya kuwa wimbo wake mpya umefanywa na prod abbah process chini ya rec lablle ya
vipaji tz aliomshirikisha dream itaingia mtaani kwa jina la haters imeshafanyiwa video na kamuni ya next
level dir adam juma na iko tayari na ameelezea ya kuwa itatoka siku chache baada ya audio kutoka....
Baghdad amesema ya kuwa kwa wiki nzima kuanzi jumamosi mpaka jumamosi ijayo ya tar 18 atakuwa
akitoa muda wa maongez wa shilingi elfu 5 kwa watakaokuwa wamepatia jibu la swali atakalokuwa
ameuliza kwenye mitandao ya kijamii. Njia za kuwasiliana na bahdad ni hizi zifuatazo
Face book page : Baghdad pg kweka,
instagram bagh_dad,
twiter kwekapraygod.
Bonyeza HAPA kusikiliza na Ku Download