Diamond
Platnumz akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya
habari na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa
ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako
alishinda
zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.
Mwanamuziki
nyota wa
miondoko ya Bongo Fleva Diamond Platnumz akiwasili uwanja wa ndege wa
kimataifa
wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako
alishinda
zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.Pichani
akilakiwa na Mama yake Mzazi na baadhi ya washabiki na wapenzi wa muziki
huo