Jun 23, 2014

NAFASI ZA MASOMO KWA GARAMA NAFUU ZAIDI


CHUO KIKUU HURIA {THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA} sasa kinawatangazia wote nafsi za masomo mwaka wa masomo kwa kozi zifuatazo kwa garama nafuu zaidi:

1.BASIC COMPUTER APPLICATION
2.ADVANCED COMPUTER APPLICATION
3.PER-ENTRY
4.CERTIFICATE
5.DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE

FOMU ZINAPATIKANA KATIKA OFISI ZETU 
DAR ES SALAAM
  kinondoni
  ilala 
  temeke
MWANZA{ppf plaza building 4 & 5 floor}
KAGERA.
  wahi sasa nafasi ndio hii na muda ndio huu
imetolewa na idara ya masoko makao makuu open university of tanzania dar es salaam.  
website: www.out.ac.tz