Jun 13, 2014

MEXICO YAICHAKAZA CAMEROON

 Mshambuliaji wa Cameroon, Samuel Eto'o akisikitika baada ya kukosa bao.

 Mexico wakishangilia ushindi wao dhidi ya Cameroon.

 Oribe Peralta akiipatia bao Mexico katika dakika ya 61 ya mchezo

Alex Song (katikati) akiwa kazini.

CAMEROON wameanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mexico kwenye mechi iliyopigwa hivi punde nchini Brazil.
Bao la Mexico limewekwa kimiani na Oribe Peralta katika dakika ya 61 ya mchezo.

VIKOSI:
Mexico: Ochoa, Layun, Moreno, Marquez, Rodriguez, Aguilar, Guardado (Fabian 69'), Vazquez, Herrera, Giovani, Peralta (Hernandez 74').

Benchi: Corona, Salcido, Reyes, Jimenez, Pulido, Ponce, Brizuela, Aquino, Pena, Talavera.

Kadi za njano: Moreno

Mabao: Peralta 61'

Cameroon: Itandje, Djeugoue (Nounkeu 45'), N'Koulou, Chedjou, Assou-Ekotto, Song (Webo 79'), Mbia, Enoh, Moukandjo, Eto'o, Choupo-Moting.

Benchi: Feudjou, Aboubakar, Makoun, Bedimo, Fabrice, Salli, Matip, Nyom, N'Djock.

Kadi za njano: Nounkeu

Mwamuzi: Wilmar Roldan Perez

Mashabiki: 39, 216