mwanaziki wa kizazi kipya KALA JEREMIAH sasa kuja na song lake jipya akiwa amemshirikisha ney wa mitego na Mo music. kala sasa anakuja na kibao cha SIMU YA MWISHO wimbo huo ambao ni ujumbe tosha kwa mashabiki wa music wa hip hop. kala anawaomba mashabiki wake wakae mako wa kula kwani anawaletea vitu wavitakavyo wadau wake wa hip hop.
kala jeremiah ambaye amekwisha tamba na ngoma zake kibao hapa nchini tanzania kama vile wimbo wa Taifa, dear God, na walewale na nyingine kibao amabazo zilimfanya kuchukua tuzo za kili music tour 2013 kala jeremiah amewashukuru sana mashabiki wake wa muzi wa hi hop na anaesema kuwa mashabiki ndio kila kitu katika kazi zake za music kwani wao ndio wanampa moyo wa kuifanya Game ya muziki kuwa nzuri zaidi na kufanya radha ya muziki wa Hip hop kuwa juu zaidi
KALA JEREMIAH KATIKA POZI LAKE LA SALUTE


